Posts
Sio kila ushauri unafaa katika kutimiza malengo yako - Hudson Kamoga
- Get link
- X
- Other Apps
Flash Light( Epuka marafiki wanaosema hili haliwezekani) - Hudson Kamoga
- Get link
- X
- Other Apps
Make your event look different in the biggest MARQUEE in Dar!
- Get link
- X
- Other Apps
Muonekano wake wakati wa usiku pakiwa pamepambwa! Pananogajee! Muonekano wa ndani! Kwa mahitaji yako ya send off party, Wedding party, Corporate Events, Fund raising events, Concerts and much more. Hii MARQUEE ni kubwa sana,inauwezo wa kuchukua watu 1,000 walioketi na meza na watu 2,500 cocktail style. Kwa maelezo zaidi piga simu +255 655 809091 or 0784845995
- Get link
- X
- Other Apps
“Think before you speak” is always a good policy -- and at work it's even more important. Saying the wrong thing to your boss can do serious damage to your career -- and some of the things bosses don't like to hear may surprise you. We checked in with some managers and came up with this list of nine phrases they strongly dislike -- and we'll tell you what you should say instead: 1. "I need a raise." Never enter salary negotiations talking about what you need -- because of rising costs or a new expense, for instance. Your employer doesn't care about your financial problems. However, management probably does want to reward success and keep high-performing employees satisfied. A raise request should always be supported by evidence of what you've achieved for the company -- along with information about what people with your re...
Jamii ya watu Wasiofikika! Hawajui lolote linaloendelea duniani!
- Get link
- X
- Other Apps
Hapa ndo issue ya kuvua na kuogelea,beach yao! Utafiti uliofanywa mwaka wa 2008 imegundua jamii inayoishi katika misitu ya Amazon na kusini mwa Peru,jamii hiyo inayojulikana kama Mascho-Piro. Jamii hii haijui chochote kinachoendelea ulimwenguni. Hawataki kusogelewa na binadamu yeyote na huua yeyote anayejaribu kufika katika himaya yao,hasa wavuvi. T Mascho-Piro Man and Woman Familia katika pose! . Picha iliyopigwa toka angani . U kisogea tu hapa ndo mwisho wa life. huku ndo safi kwenda kufungua church Photos by Reuters