Jamii ya watu Wasiofikika! Hawajui lolote linaloendelea duniani!
![]() |
Hapa ndo issue ya kuvua na kuogelea,beach yao! |
Utafiti uliofanywa mwaka wa 2008 imegundua jamii inayoishi katika misitu ya Amazon na kusini mwa Peru,jamii hiyo inayojulikana kama Mascho-Piro. Jamii hii haijui chochote kinachoendelea ulimwenguni. Hawataki kusogelewa na binadamu yeyote na huua yeyote anayejaribu kufika katika himaya yao,hasa wavuvi. T

Mascho-Piro Man and Woman

Familia katika pose!.

Picha iliyopigwa toka angani.

![]() | ||
Ukisogea tu hapa ndo mwisho wa life. huku ndo safi kwenda kufungua church |
Comments
Post a Comment