“Think before you speak” is always a good policy -- and at work it's even more important. Saying the wrong thing to your boss can do serious damage to your career -- and some of the things bosses don't like to hear may surprise you. We checked in with some managers and came up with this list of nine phrases they strongly dislike -- and we'll tell you what you should say instead: 1. "I need a raise." Never enter salary negotiations talking about what you need -- because of rising costs or a new expense, for instance. Your employer doesn't care about your financial problems. However, management probably does want to reward success and keep high-performing employees satisfied. A raise request should always be supported by evidence of what you've achieved for the company -- along with information about what people with your re...
Posts
Showing posts from July, 2012
Jamii ya watu Wasiofikika! Hawajui lolote linaloendelea duniani!
- Get link
- X
- Other Apps
Hapa ndo issue ya kuvua na kuogelea,beach yao! Utafiti uliofanywa mwaka wa 2008 imegundua jamii inayoishi katika misitu ya Amazon na kusini mwa Peru,jamii hiyo inayojulikana kama Mascho-Piro. Jamii hii haijui chochote kinachoendelea ulimwenguni. Hawataki kusogelewa na binadamu yeyote na huua yeyote anayejaribu kufika katika himaya yao,hasa wavuvi. T Mascho-Piro Man and Woman Familia katika pose! . Picha iliyopigwa toka angani . U kisogea tu hapa ndo mwisho wa life. huku ndo safi kwenda kufungua church Photos by Reuters